Yahoo matatani
Huwezi kusikiliza tena

Yahoo matatani katika makala ya Click

Kampuni ya mawasiliano ya barua pepe ya yahoo imeshtakiwa kwa kukiuka maadili na kusoma barua za kielektroniki kutoka kwa makampuni pinzani Kampuni hiyo imeshtakiwa na zaidi ya watu milioni moja.