Afrika kusini yatoa sheria mpya ya visa ya watoto
Huwezi kusikiliza tena

Afrika kusini yaweka sheria mpya ya watoto

Nchini Afrika Kusini lalama zimetolewa dhidi ya sheria mpya kuhusu kupata Visa ya watoto nchini Humo. Sheria mpya imeanza kutekelezwa hii leo ambapo yeyote anayenuia kusafiri na mtoto atahitaji kuambatanisha na cheti chake cha kuzaliwa.

Kampuni za utalii zimelalamikia sheria hii na kusema itaathiri sekta hio inayoletea nchi kipato cha nje.Kutoka Johannesburg Omar Mutasa anaarifu.