Wanaharakati nchini Congo
Huwezi kusikiliza tena

Haki magerezani zakiukwa Congo

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Shirika la haki za binadamu la ASPROVIKI limewasilisha ombi kwa mahakama ya mkoa wa kivu ya kaskazini, kutaka Mkurugezi wa Gereza kuu la MUNZENZE mjini Goma afikishwe mbele ya vyombo vya sheria, kwa tuhuma za kuwanyanyasa wafungwa.

Mwandishi wa BBC Mashariki mwa Congo BYOBE MALENGA, na taarifa zaidi.