Kiboko mbilikimo amezaliwa katika hifadhi moja  ya wanyama  nchini Australia
Huwezi kusikiliza tena

Kiboko mbilikimo azaliwa Australia

Kiboko mbilikimo amezaliwa katika hifadhi moja ya wanyama nchini Australia

Huyo ndiye mbilikimo wa kwanza kuwahi kuzaliwa katika kipindi cha miaka 33.

Kiboko huyo anatarajiwa kuwa mrefu wa kimo cha sentimita 70-80.

Aidha anatarajiwa kutimia kilo 250 ambayo ni robo ya kimo na uzani kiboko wa kawaida.

Kiboko hao mbilikimo wako katika hatari ya kuangamia na hivyo wanapewa malezi maalum.