BBC imepata video inayoonesha jinsi wanawake wanavyodhalilishwa chini ya utawala wa IS nchini Iraq
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya wanawake chini ya IS Iraq

BBC imepata video inayoonesha jinsi wanawake wanavyodhalilishwa chini ya utawala wa IS nchini Iraq.

Mwanamke mmoja anaonekana akizomewa kwa kukosa kujistiri viganja vya mkono kwa glavu.