Maraisi wa Afrika Mashariki,picha ya maktaba
Huwezi kusikiliza tena

Bajeti Afrika Mashariki ni leo

Leo ni siku ya Bajeti kwa nchi nne wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki - isipokuwa Burundi. Wananchi wa Afrika Mashariki watazamie nini katika bajeti za mwaka wa fedha 2015/16?; - Bei za vitu zikipanda, thamani ya shilingi ikianguka, na huku hali ya maisha kwa jumla ikiongezeka.

Alli Mutasa na maelezo zaidi: