Unyanyasaji wa polisi Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Polisi wanyanyasaji wapatikana

Watu walioshuhudia wachukua kanda ya video ya polisi ambaye alikuwa akimpiga mtu aliyelala na mijeledi.Polisi wanasema kuwa mshukiwa Jose Velasco alimshambulia mamaake katika barabara lakini mamaake amekana madai hayo.