Huwezi kusikiliza tena

Wazee wanathaminiwa?

ripoti ya shirika la kupigania haki za wazee Global Alliance for the Rights of Older People, inasema wazee wanakabiliwa na unyanyasaji na ubaguzi kwa sababu ya umri wao. Ripoti hii imetowalewa wakati dunia ikiadhimisha siku ya wazee . Nchini kenya, wazee wengi wanakabiliwa na ubaguzi, umaskini uliokithiri, na wale wachache wenye bahati, hupata hifadhi kwenye makao ya wazee ambayo ni machache . Mwandishi David Wafula alitembelea moja ya makazi hayo yanayowahifadhi wazee 31.