Minecraft
Huwezi kusikiliza tena

Microsoft yatoa toleo jingine la mchezo

kampuni ya Microsoft imezua matarajio makubwa baada ya kuonyesha toleo jingine la mchezo wa Hololen,kwa jina minecraft .Na sio mchezo wa kufurahisha tu.Unaingiza mchezo huo katika mazingira ya kawaida.Mchezo huo wa Hololen pia unaweza kukupa maelezo kuhusu vile unavyoweza kutengeza mfereji wako