Kaa wavamia ufuo wa bahari wa Carlifonia nchini Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Kaa wavamia ufuo wa Carlifornia

Kaa wamevamia ufuo wa bahari wa California na kutengeza zulia la sentimita 40 kwa ukubwa.Wanasayansi wanasema kuwa hatua hiyo imesababishwa na kupanda kwa viwango vya joto .