Huwezi kusikiliza tena

Vijana wa Afrika kupata tuzo ya Malkia

Image caption Malkia Elizabeth

Vijana 60 kutoka Afrika walioteuliwa kati ya mamia ya washirki, wanatarajiwa kupata tuzo ya Malkia wa Uingereza.

Vijana hao, wanatarajiwa kuzawadiwa kwa mchango wao katika masuala ya kimaendeleo kwa mataifa yao.

Kupitia mpango unaofahamika kama tuzo za Malkia wa Uingereza Elizabeth maarufu kama Queen's Young Leadership Award vijana hao watakutana na Malikia na viongozi wengine wa Uingereza.