Huwezi kusikiliza tena

Mazungumzo ya amani Burundi kuanza tena

Haki miliki ya picha
Image caption Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanatarajiwa kuanza tena leo baada ya kusitishwa kwa siku kadhaa.

Mazungumzo hayo ni kati ya serikali, vyama vya upinzani na makundi ya kutetea haki za kibinaadamu, yenye lengo la kumaliza mgogoro wa kisiasa uliozuka kufuatia azma ya Rais Pierre Nkurunziza ya kuwania muhula wa tatu, yatasimamiwa na msuluhishi mpya Abdoulaye Bathily kutoka Senegal.

Sikiliza taarifa ya Ramadhan Kibuga kutoka Bujumbura.