Mtoto mchanga
Huwezi kusikiliza tena

Kifaa chenye ufanisi katika hospitali TZ

Kifaa kinachotumika tanzania ambacho huwasaidia watoto waliozaliwa kabla ya mda wao kupumua.Ufanisi wa kifaa hicho ni sawa na vifaa vya teknolojia ya hali ya juu.