Obama amzoma mwanaharakati White House
Huwezi kusikiliza tena

Obama amzomea mwanaharakati White House

Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House.

Wageni walimshabikia Obama alipomsuta bwana huyo wakimpigia makofi kwa kuchukua msimamo.

Hatimaye rais Obama alimuonya kuwa angeamrisha aondolewe iwapo hatatulia akisema ''hapa ni kwangu, ukienda kwa mtu sharti ufuate sheria za mwenyeji wako''