Wamasai
Huwezi kusikiliza tena

Wamaasai ni wasusi hodari Tz

Image caption Wamaasai ni wasusi hodari Tz

Ni sura ya Afrika mashariki kama ilivyozoeleka, ya Mmasaai akiwa mbugani na mifugo yake.

Lakini sura hiyo imeanza kubadilika kutokana na kupungua kwa mvua na nyasi za malisho.

Vijana wa Ki-Maasai wamelazimishwa kuhama kwao huko Serengeti na sasa wanapatikana jijini Dar es Salama kutafuta ajira.

Tulanana Bohela ametuandalia taarifa hii.