Makala ya teknolojia wiki hii
Huwezi kusikiliza tena

Apple yalazimika kubadili sera za malipo

Barua ya mwanamuziki Taylor Swift iliyoiabisha kampuni kubwa ya kiteknolojia ya Apple iliilazimisha apple kubadili sera za malipo kwa wanamuziki katika wakati wa majaribio ya programu yake mpya ya kusambaza muziki

Kwengineko Kampuni ya kutengeneza bidhaa za kielektroniki ya Samsung inafanya majaribio ya runing kubwa inayopachikwa nyuma ya malori yanayokokota matrela makubwa makubwa kwa nia ya kuwaonesha madereva wenza kinachojiri barabarani iliwaweze kutathmini iwapo ni salama kupita au la.

Televisheni hizi zinalenga kupunguza ajali katika mabarabara ya Argentina ambayo yanakisiwa kuwa na visa vingi zaidi ya ajali duniani.

Kwa haya na mengine mengi tazama makala ya wiki hii ya habari za teknolojia ya Click.