Huwezi kusikiliza tena

mamilioni wako hatarini kupata malale

Watu milioni sitini walio kusini mwa jangwa la sahara wako hatarini kupata ugonjwa wa malale unaosambazwa na wadudu waitwao Mbung'o. katika hatua za awali ni vigumu kubaini ugonjwa huu lakini ni rahisi kutibu, hivyo watafiti wanajaribu kumtokomeza mdudu huyu anayesambaza malale.Maryam Abdallah anaripoti kutoka Arua, kaskazini mwa Ug