Je kwa nini Afrika imeshindwa kufikia Malengo ya milenia?
Huwezi kusikiliza tena

Je kwa nini Afrika imeshindwa kufikia Malengo ya milenia?

Ni takriban miaka 15 sasa tangu viongozi wa dunia walipodhinisha malengo 8 ya Milenia ambapo lengo kuu lilikuwa ni kumaliza umaskini duniani na mateso dhidi ya binadamu ifikapo mwaka huu wa 2015.

Wakati muda wa malengo hayo ukifikia ukingoni wiki hii,Takwimu mbali mbali bado zinaonyesha kuwa nchi za Afrika bado hazijaweza kufikia kikamilifu malengo hayo.

Katika mjadala wetu wiki hii tunahoji.

Je Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia Malengo ya milenia?