Umewahi kula konokono?
Huwezi kusikiliza tena

Video:Tazama mapishi ya konokono?

Mwendo wake ni wa kobe, pengine taratibu zaidi, na ni kwa kasi hiyo hiyo utamaduni wa kula konokono unavyoenea barani Afrika.

Konokono tayari wanaliwa kwa kiasi kikubwa Afrika Magharibi, na ni mlo maalum kabisa.

Mfanyabiashara mmoja nchini Kenya anataka kutanua wigo wa ulaji huo.

Mwandishi wetu Ruth Nesoba ametembelea shamba la kukuza kitoweo hicho.