Waafrika wanaongoza ulimwenguni  kwa uzazi
Huwezi kusikiliza tena

Waafrika wanaongoza ulimwenguni kwa uzazi

Uganda imeweka rekodi mpya katika Afrika Mashariki.

Si ya mashindano ya magari wala kukimbia au ya baiskeli na wala si kutembea.

Ni rekodi gani hiyo?

Ni Rekodi ya Uzazi,,,,

Mwandishi wetu wa Kampala Siraj Kalyango anaarifu.