Huwezi kusikiliza tena

Tanzania na ubora wa bidhaa

Baadhi ya bidhaa zinazoingizwa nchini Tanzania zimeelezwa kutokuwa na viwango wala nembo za ubora.

Mwandihi wa BBC Esther Namuhisa alitembelea maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama saba saba yanayoendelea mjini Dar es Salaam na kuandaa makala ifuatayo.