Raia mmoja wa Canada aliyeruka kwa puto alijipata hatiani aliposhtakiwa kwa kuwa mtundu
Huwezi kusikiliza tena

Video:Aliyeruka kwa puto ajipata hatiani

Bwana mmoja anayependa kupaa alijipata matatani baada ya jaribio lake la kupaa kwa kufunga puto takriban 100 kwenye kiti kupaa juu zaidi.

Raia huyo wa canada hakuwa na udhibiti wa kifaa hicho kilichopaa kadri mawimbi yaliyoipeleka.

Alipaa juu ya eneo la Calgary ambapo ni marufuku

Daniel Boria alikamatwa na kushtakiwa kwa utundu.