Huwezi kusikiliza tena

Usalama wakati wa Eid El Fitr, Mombasa

Idara za usalama nchini Kenya, zimebuni mikakati kabambe, kudumisha hali ya usalama wakati wa siku kuu ya Eid.

Mikakati hiyo inalenga kukabiliana na aina yoyote ya tishio kutoka kwa wapiganaji wa Al- Shaabab.

Sikiliza taarifa ya Shaaban Ndege kutoka Kenya.