Mzee Ojuang
Huwezi kusikiliza tena

Wakenya wamuenzi mzee Ojuang

Msanii hodari wa mchezo wa kuigiza nchini Kenya, mzee Ojuang, aliyefariki wiki jana, alitumbuiza Wakenya wengi akiwa na mkewe, Mama Kayai na wengine, kwenye kipindi chao maarufu, Vitimbiā€¦.John Nene amezungumza na Mama Kayai na akatuandalia ripoti hii.