Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa kizazi kipya DRC.

Mwanamuziki wa kizazi kipya mashariki mwa Congo ameanzisha kampeni kuinusuru jamii.

GABRIEL KABWE maarufu kama Mr Gava, anayetamba na nyimbo hizo katika tarafa la Uvira, Kivu kusini ameanzisha kampeni kuwasaidia watu wasio jiweza ikiwemo mayatima na waathirika wa mafuriko.

Sikiliza makala ya BYOBE MALENGA aliyetembelea mji wa UVIRA.