Rais Obama kuzuru kenya
Huwezi kusikiliza tena

OBAMA:BBC Pop up yawasili Kenya

Kipindi cha BBC Pop up tayari kimewasili katika jiji la Nairobi nchini Kenya ili kuangazia baadhi ya taarifa za maandalizi na shamra shamra za kuwasili kwa rais Obama wa Marekani.