Je ziara  ya rais wa Marekani Barack Obama itaathiri sera za usalama za Kenya ?.
Huwezi kusikiliza tena

Obama: Ziara itaathiri usalama Kenya ?

Rais Barack Obama amepangiwa kufungua rasmi kikao cha kimataifa cha uwekezaji na wajasiria mali jini Nairobi.

Lakini huku maandalizi yakifanywa ya kumkaribisha usalama umechukua nafasi ya juu zaidi katika agenda ya rais huyo wa Marekani na viongozi wa Kenya.

Mwandishi wa BBC wa maswala ya usalama Tomi Oladipo anaangazia namna ziara hii ya rais Obama itakavyoathiri sera za usalama za Kenya.