Matukio ya siku ya kwanza ya mkutano  wa wajasiria mali
Huwezi kusikiliza tena

Obama:Matukio ya siku ya kwanza ya mkutano

Madhumuni makubwa ya Rais Obama kuitembelea Kenya ni pamoja na kuhudhuria Kongamano kubwa la kimataifa la wajasiria mali ambalo leo linaingia siku ya pili katika makao makuu ya umoja wa mataifa. Mwandishi wetu Lilian Muendo alihudhuria siku ya kwanza ya kongamano hilo na kutuandalia taarifa hii ifuatayo.