Huwezi kusikiliza tena

Msanii Benson Wanjau kuzikwa leo, Kenya

Muigizaji wa filamu za ucheshi, Benson Wanjau, maarufu mzee ojwang anatarajiwa kuzikwa leo. Marehemu Ojwang mwenye umri wa miaka 78, amekuwa akiigiza kwa zaidi ya miaka 50 na kuwavutia mashabiki kutoka kila kona ya Afrika mashariki.

Sikiliza ripoti ya Abdinoor Maalim.