Kijana mdogo kuwahi kufanyiwa upandikizaji wa mikono
Huwezi kusikiliza tena

Mvulana mdogo apandikizwa mikono

Zion Harvey ni mvulana mdogo kuwahi kufanyiwa upasuaji wa upandikizaji mikono kutoka Marekani.Alitaka kufanyiwa upasuaji huo ili kumchukua dadaake.