ndondi
Huwezi kusikiliza tena

Onyango amshinda Atuihairwe wa Uganda

James Onyango wa Kenya alimshinda Patrick Atuihairwe wa Uganda na kutwaa ubingwa wa Jumuiya ya Madola Afrika uzani wa welter katika pigano lililofanyika Ijumaa mjini Nairobi. Licha ya Bigtime Promotions kujitokeza kuandaa mapigano ya kulipwa, mabondia wa Kenya wanalalamika kuhusu ukosefu wa mapigano ya mara kwa mara…….John Nene alikuwa kando ya ulingo wa ukumbi wa kitaifa wa Nyayo, na anaanza kwa kutusimulia baadhi ya mapigano ya utangulizi.