Huwezi kusikiliza tena

Burundi:Rais Nkurunziza akemea mauaji

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amewataka raia wake kushikamana na kutoshambuliana baada ya kuuwawa kwa mkuu wa zamani wa idara ya upelelezi Adolf Nshimirimana jumapili asubuhi kwa kushambuliwa na roketi.

Kutoka Bujumbura mwandishi wetu ismail Misigaro ana tuarifu zaidi: