Huwezi kusikiliza tena

Waweka Viagra kwenye mvinyo China

Maafisa wanaohusika na ubora wa vyakula wanasema, watengenezaji wa Pombe nchini humo waliongeza dawa ya kuongeza nguvu za kiume yaani Viagra katika maelfu ya chupa za pombe na kuwaambia wateja kwamba mvinyo huo ulikuwa na kile walichokiita kama " mambo mazuri ya kiafya". Zaidi ya chupa alfu 5000 za vileo zilichukuliwa na maafisa wa upelelezi kwa uchunguzi katika mji wa Kusini mwa Uchina wa Liuzhou. Wanyama wa Chebusiri anamalelezo zaidi.