Huwezi kusikiliza tena

Kenya haikutoa ushirikiano kwa ICC?

Jumatano majaji wa rufaa wa mahakama ya kimatiafa ya makosa ya jinai ICC wanatarajiwa kutoa uamuzi wao ikiwa kuporomoka kwa kesi iliyokuwa ikimkabili rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ilitokana na hatua ya kiongozi huyo na serikali yake kukataa kushirikiana na mahakama hiyo.

Kutoka Nairobi Odhiambo Joseph anaelezea zaidi...