Wanafunzi wa afrika mashariki wanaosomea Beijing
Huwezi kusikiliza tena

Wanafaunzi wa Afrika mashariki Beijing

Katika mfululizo wetu wa kuzungumza na raia kutoka Afrika Mashariki walioko China, leo hii John Nene anazungumza na Stephen Kizito, mwanafunzi kutoka Uganda ambaye kwanza anaanza kwa kutueleza anasomea somo lipi katika Chuo Cha Ukulima Cha China mjini Beijing.