Michoro ya miambani kondoa mjini Dodoma nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Michoro ya miambani Dodoma Tanzania

Michoro ya miambani iliyopo mkoani Dodoma katikati mwa Tanzania, eneo la Afrika ya mashariki imeelezwa kuwa ni ya kale Zaidi, hali iliyofanywa pia kuweza kuingizwa katika orodha ya urithi wa dunia, lakini hata hivyo, iwapo haitatunzwa vizuri inaweza kupotea taratibu, kutokana na uharibifu wa mazingira unaofanywa katika eneo hilo.

Halima Nyanza alitembelea eneo hilo la michoro ya miambani Kondoa na kutuandalia taarifa ifuatayo.