Huwezi kusikiliza tena

Usalama wa usafiri ukoje Tanzania?

Juma hili tumekuwa tukiangazia usalama barabarani. Mara nyingi Madereva wa Magari ndio wanaolaumiwa kwa kusababisa ajali kutokea mara kwa mara. Lakini je Abiria wanachangia katika kudumisha usafiri salama?.Mwandishi Arnold Kayanda karibuni alisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda kilomita 200 hadi mji wa Morogoro uliopo Magharibi wa nchi, alipojikuta kati kati ya mabishano kati ya abiria na dereva kuhusu mwendo wa basi waliosafiria. Hii hapa taarifa yake.