Huwezi kusikiliza tena

Watembea kwa miguu hatarini Uganda

Katika mfululizo wetu wa makala za barabara katika nchi Afrika, hii leo tunaangazia usalama wa watu wanaotembea kwa miguu huko mjini Kampala, nchini Uganda. Afrika pia ina idadi kubwa ya vifo vya watu wanaotembea kwa miguu. Mwandishi wetu Isaac Mumena ametuandalia taarifa ifuatayo: