Huwezi kusikiliza tena

Rwasa atetea nafasi yake Burundi

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amepinga vikali madai kwamba hadhi yake imeshuka kama kiongozi wa upinzani.

Hii ni baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la nchi hiyo na wafuasi wake kuteuliwa kuwa Mawaziri.

Sikiliza mahojiano kati ya John Solombi wa BBC na Agathon Rwasa ambaye anaanza kwa kuwanyooshea kidole wale wanaosema hadhi yake imeshuka.