Huwezi kusikiliza tena

Visa vya watoto kukatiza masomo Tanzania

Visa vya watoto kukatiza masomo yao nchini Tanzania vimekuwa vikipigiwa kelele na asasi mbalimbali.

Mkoa wa Pwani ni moja kati ya mikoa ambayo inaonekana kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaoacha shule za msingi.

Baadhi ya mambo yaliyotajwa kusababisha hali hii ni pamoja na ajira kwa watoto.

Sikiliza ripoti ya Anna Mwiru alitembelea eneo la Kisemvule mkoani Pwani.