Mbwa waliopewa mafunzo
Huwezi kusikiliza tena

Mbwa wapewa mafunzo maalum Rwanda

Je unajua mbwa siyo wa kubweka tu? mbwa anaweza kufundishwa kufanya mambo mengi na kuyatekeleza ipasavyo.

Kwa mara ya kwanza nchini Rwanda, kumejitokeza kundi la vijana walioanzisha mradi wa kufundisha mbwa mambo tofauti yakiwemo nidhamu na mienendo mbali mbali kulingana na matakwa ya mmiliki wa mbwa huyo.

Mwamdishi wa BBC Yves Bucyana ametembelea vijana hao na hii hapa taarifa yake.