Huwezi kusikiliza tena

Mbwa, paka nyama zinazopendwa DRC

Katika jamii nyingi hasa za Kiafrika, mbwa na paka ni wanyama ambao hutoa ulinzi wa kipekee nyumbani. Hatua ya kuwageuza wanyama hao na kuwafanya kitoweo hufanyika sana sana katika mataifa ya kigeni hasa uchina. Lakini katika baadhi ya maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, sasa nyama ya Mbwa na paka inauzwa. Mbelechi Msoshi anaarifu zaidi kutoka Kinshasa