Huwezi kusikiliza tena

Walimu Kenya wakataa kulegeza msimamo

Waalimu nchini Kenya wamekataa kulegeza msimamo wao na kuapa kuendelea na mgomo wa kitaifa hadi watakapolipwa nyongeza ya mishahara kama ilivyoagizwa na mahakama ya juu zaidi nchini humo. Hii ni baada ya rais Uhuru Kenyatta kusema kwamba serikali haina pesa za kutekeleza nyongeza hiyo. Kutoka Nairobi David Wafula anaarifu