Somo la kompyuta darasani
Huwezi kusikiliza tena

Je,kompyuta zinatuelekeza wapi?

Akili ya kompyuta ni mojawapo ya maswala yanayowakuna vichwa watu duniani kote hivi sasa.Baadhi ya watu wanasema itawaokoa binaadamu hata kufanya tuishi milele.Wengine wanasema inaweza kutuangamiza sote.Lakini ukweli wa mambo ni kwamba wengi wetu hatujui ni nini hasa...hebu tazama Ali Saleh akituonesha safari ilikofikia hadi sasa.