Mihogo
Huwezi kusikiliza tena

Mihogo mibichi ina nguvu za kipekee?

Ukitembea jijini Dar es Salaam, mojawapo ya vitu utakavyoviona ni pamoja na wanawake wanaouza mihogo mibichi.

Wauzaji hawa huwalenga sana wanaume na vijana.

Ili kujua nini siri ya mihogo mibichi, mwandishi wetu Prisca Mussa alifika jijini na hii hapa ripoti yake.