Changamoto za utoaji wa huduma za dharura
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto za utoaji wa huduma za dharura

Huduma ya kwanza huchangia pakubwa katika uokoaji wa maisha ya binadamu haswa wakati wa majanga.lakini Kukosekana kwa mpango mahsusi wa kitaifa wa huduma ya

kwanza nchini Kenya kumesababisha kuibuka kwa makampuni ya kibinafsi yanayotoa huduma za kwanza.

Tumepata fursa ya kujiunga na mhudumu wa gari la kutoa huduma ya kwanza Jamal Abdi anayeelezea masaibu yanayowakabili wakiwa kazini kuokoa maisha ya wakenya.