Mahujaji Mecca
Huwezi kusikiliza tena

Furaha na huzuni mahujaji wakirejea Tanzania

Tanzania ni mojawapo ya nchi barani Afrika zenye idadi kubwa ya watu ambao bado hawafahamiki walipo baada ya kutokea mkanyagano Mecca, Saudi Arabia. Hadi sasa watu 6 inajulikana walipoteza maisha. Leonard Mubali alikuwa uwanja wa ndege mahujaji wa kwanza walipokuwa wakirejea na aliandaa taarifa ifuatayo.