Jakaya KIkwete
Huwezi kusikiliza tena

Kikwete ahimiza uhusiano mwema na Kenya

Rais wa Tanzania Jakaya Kimwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuahidi kwamba uhusiano baina ya Kenya na Tanzania hautabadilika hata akiondoka mamlakani. Amesema ni "mpumbavu" pekee anayeweza kuvuruga uhusiano baina ya nchi hizo mbili na "watu kama hao ni wachache sana Tanzania".