Abdalla  Nyangalio
Huwezi kusikiliza tena

Fundi asiyeona aliyemshonea Kikwete shati

Bw Abdallah Nyangalio ni fundi wa nguo asiyeona na ambaye amekuwa maarufu Tanzania kiasi kwamba aliwahi kumshonea Rais Jakaya Kikwete shati. Mwandishi wa BBC Swahili Esther Namuhisa, alimtembelea katika duka lake jijini Dar es Salaam leo ikiwa siku ya kuona duniani.