Khadija Liganga
Huwezi kusikiliza tena

Mwanza wanamtaka rais atakayefanya nini?

Khadija Liganga ni mama mjasiriamali na shabiki wa soka mjini Mwanza.

Alimwambia mwandishi wa BBC Tulanana Bohela mambo ambayo angelipenda kiongozi atakayechaguliwa kuangazia.

Analalamika kuwa viwanja vya michezo vimetelekezwa na pia licha ya Mwanza kuwa karibu na Ziwa Victoria, bei ya samaki ingali ghali.

Angependa kiongozi mpya kuangazia hayo na pia kusaidia wafanyabiashara wadogo.